Habari Mpya
25 April, 2026 | Mhariri: Hamza Msaji
IAASO YAWAPONGEZA WAANDAAJI TAMASHA LA SILENT OCEAN UNI AWARDS 2026
Akizungumza kwa niaba ya rais, Mhe. Frank Michael amesema...
25 April, 2026 | Mhariri: Hamza Msaji
WAZIRI MKUU MAPENE AFANYA ZIARA CHUO KIKUU ZANZIBAR-ZU
Katika kuimarisha ushirikiano wa kiuongozi, Waziri Mkuu Mhe. Mollel Mapene pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Devis Eugine wame...
22 Machi, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
TIRA YATOA ELIMU YA BIMA KWA WANAFUNZI IAA
Akiwa ndani ya IAA, Meneja wa Bima kanda ya kaskazini Dokta Emmanuel Lupilya amesema kuwa kupitia...
07 Machi, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
ISRC, BARAZA LA MAWAZIRI WAKUTANA KUJADILI MABADILIKO YA KATIBA
Bunge la Wanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Arusha-ISRC
limekutana Machi 6, 2026 na kujadili mabadiliko ya...
07 Machi, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
RAIS WAMBURA APONGEZA DCEA, IAA KUANDAA WARSHA
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha-IAA Francis Wambura ameipongeza Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na...
14 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
MAPOKEZI YA MGENI RASMI IAA FRESHERS' PARTY 2026
Kikao
maalum cha mapokezi ya mgeni rasmi katika sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wa
mwaka wa kwanza kwa mwaka 2026, ndani ya Chuo Cha Uhasibu Arusha-IAA maarufu
IAA WELCOME FRESHERS' PARTY, ambapo...
14 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
USIKU WA IAA FRESHERS’ PARTY 2026 NA BURUDANI ZA WASANII JUKWAANI
Anga lilipambwa na mwanga wa taa za rangi, sauti za muziki zikivuma hewani, na shamrashamra za wanafunzi wapya na wakongwe zikichanganyika kwa furaha isiyo kifani. Ilikuwa ni...
08 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
VIONGOZI IAASO, CRs WAFUNDWA MAADILI YA UONGOZI
Kutokana na kuongezeka kwa matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii kama facebook, Twitter (X), Instagram, Youtube na mingineyo, viongozi hao wameelimishwa juu ya .......
01 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
IAA YAFIKA FAINALI YA SHINDANO LA MABINGWA WA MTANDAO 2025/26
Wanafunzi kutoka IAA wamemaliza shindano la mabingwa wa mtandao 2025/26 kwa kufanikiwa kufika hatua ya.......
15 Januari, 2026 | Ofisi ya Rais
KLABU YA KUSAIDIA WATU WASIOJIWEZA YATAMBUA MCHANGO WA RAIS WAMBURA
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha-IAASO Mhe. Francis Wambura amepokea.......
09 Januari, 2026 | IAA Arusha
HAKUNA MBABE MPIRA WA MIGUU IAA-ARUSHA, BABATI