Michezo

IAASO ARUSHA
Habari Mpya
06 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
TIMU YA NETIBOLI YA WANAFUNZI WA SHAHADA HAIJAFURUKUTA DHIDI YA TIMU YA STASHAHADA
Timu ya netiboli ya wanafunzi wa shahada (bachelor degree) mwaka wa kwanza hadi wa tatu haijafua dafu katika .......
06 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
TIMU YA ASTASHAHADA YAENDELEA KUCHAKAZWA MECHI ZA FRESHERS' PARTY
Timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa Astashahada (Certificate) IAA imepoteza mchezo wao wa pili dhidi ya.......
05 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
IAASO YAPOTEZA MCHEZO DHIDI YA TIMU YA WATUMISHI WA CHUO-IAA
Timu ya Serikali ya wanafunzi Chuo Cha Uhasibu Arusha-IAASO chini ya Rais Wambura imepoteza mchezo wa.......
01 Februari, 2026 | Mwandishi: Hamza Msaji
IAA YAIBUKA MSHINDI MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA UDOM
Timu ya mpira wa miguu kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) imekubali kupokea kichapo cha magoli 3 kwa 1 katika.......
23 Januari, 2026 | Uwanja wa Michezo-IAA
BAADA YA KUFUNGWA, WABUNGE WATAKA MECHI IRUDIWE
Wabunge wa Bunge la Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (ISRC) wamelalamika na kutaka.......
09 Januari, 2026 | IAA Arusha
HAKUNA MBABE MPIRA WA MIGUU IAA-ARUSHA, BABATI
Timu za mpira wa miguu za wanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Arusha-IAA kampasi ya Babati na Arusha wameshiriki mchezo wa kirafiki.......