TIMU YA NETIBOLI YA WANAFUNZI WA SHAHADA HAIJAFURUKUTA DHIDI YA TIMU YA STASHAHADA

 

Timu ya netiboli ya wanafunzi wa shahada (bachelor degree) mwaka wa kwanza hadi wa tatu haijafua dafu katika mchezo wao wa leo Februari 06, 2026 baada ya kukubali kupokea kichapo cha magoli 30 kwa 36 dhidi ya timu ya stashahada (Diploma).