Rais wa Serikali ya Wanafunzi-IAASO Mhe. Francis Wambura amefungua bunge jipya la mwaka 2025/26 (ISRC) leo tarehe 08 Desemba, 2025 katika ukumbi wa CH 1A.
Katika hotuba yake ya ufunguzi, Rais wambura amewasilisha mipango mkakati ya Serikali ya mwaka 2025/26 hususani katika kuimarisha mazingira bora ya elimu kwa wanafunzi na uboreshwaji zaidi wa mifumo ya elimu ili kuwezesha wanafunzi kutimiza ndoto zao za kielimu kupitia IAA bila changamoto yoyote.
Ufunguzi wa Bunge ulitanguliwa na kusoma kwa tangazo la kuitwa kwa bunge na kiapo cha uaminifu kwa wabunge mbele ya Spika Mhe. Amisa Msele, Naibu Spika na Katibu wa Bunge.
UNAYOWEZA KUANGALIA
